ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 2, 2012

PAMOJA NA MVUA KUBWA KUNYESHA, MKUTANO WA MAISHA NI NYUMBA WAFANA

Mhe. mwanaidi Maajar Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico akiingia mkutanoni huku Dr. Mkama akimshikia mwamvuli.
Mhe. Mwanaidi Maajar Balozi wa Tanzania Nchini Marekani, akilakiwa na Afisa Ubalozi, Suleiman Saleh mara tu alipoingia ukumbini.
Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV, Iddi Sanaly akiwa pamoja na Mhe. Balozi
kutoka kushoto ni Charles Singili Mkurugenzi mkuu wa Azania Benki, Oswald Urassa, mkurugenzi wa fedha TMRC na Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico, Mhe. Mwanaidi Maajar.
Kutoka kushoto ni Mrs. Nangi Massawe wa Benki kuu ya Tanzania, Charles Singili wa Azania Benki na Oswald Urassa wa TMRC
Rais wa Jumiya yaWatanzania DMV, Iddi Sandaly akimkaribisha Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico, Mhe. Mwanaidi Maajar kuufungua mkutano.
Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar akiufungua mkutano wa Maisha ni Nyumba uliofanyikia Mirage Hall siku ya Ijumaa June 1, 2012.
Mhe. Balozi akiendelea na ufunguzi huku wageni wa Maisha ni Nyumba na Viongozi wa Jumuiya wakimsikiliza.
Baracka Munisi akiwatambulisha viongozi wa Maisha ni Nyumba kwa Wanajumuiya wa DMV.
Oswald Urassa mkurugenzi wa fedha TMRC akiongea jambo.
Charles Singili, Mkurugenzi wa Azania Benki akieleza jambo kwenye mkutano wa Maisha ni Nyumba uliofanyika Ijumaa June 1, 2012 kwenye ukumbi wa Mirage, Langley Park, Maryland.
anayeongea ni Bw. Nehemiah Mchechu, Mkurugenzi mkuu wa NHC
anayeongea ni Rished Bade, Mkurugenzi mkuu wa Tanzania Mortgage Refinance Co. (TMRC)
anayeongea ni David Shambwe, mkurugenzi wa biashara NHC
Pamoja na mvua kubwa kunyesha Ijumaa ya June 1, 2012 Watanzania walijitikeza kwa wingi kwenye mkutano wa Maisha ni Nyumba uliofanyikia Mirage Hall, Langley Park, Maryland.
Kwa picha zaidi Bofya Read More


 

4 comments:

Anonymous said...

what a waste of time!

Anonymous said...

Kama umepoteza muda ni wewe . Wengi tumenufaika. ukuona watu walivyokuwa wanagombania forms za kufungua account pale. Fungua Macho wewe wacha agenda mbovu hizo.

Anonymous said...

wengine wa mbali info tunapata wapi na hizo fomu?

Anonymous said...

Nimetafuta tafuta sana kuona kama kutakuwa na video zozote tulio nje na maeneo ya DC tuweze kusikiliza labda tungepata mawili matatu lakini wapi. Si mgeweka videoa jamani? Ninyi mlioko DC mkumbuke watz tumetapakaa kote na haya mambo kama ya nyumba wote tungeweza sana kufaidika