ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 25, 2012

Shukurani kutoka kwa Dada Matilda.

Dada Matilda anapenda kutoa shukurani kwa wale wote waliojitokeza kwenye misa ya kumuombea mama mkwe wake Leah Petropa Mboya aliyefariki siku ya tarehe 9 June na kuzikwa tarehe 16 Juni huko Marangu Mauo, Moshi Tanzania.

Dada Matilda akiwa ameshikilia picha ya mama mkwe wake bibi Leah kwenye siku ya ibada ya kumuombea bibi huyo iliyofanyiaka siku ya Jumapili Juni 24, 2012 mjini College Park, Maryland.

 Dada Matilda akiwa na ndugu na jamaa waliofika kwenye ibada ya kumuombea mama mkwe wake.



Kwa picha zaidi mtembelee IskaJoJo

No comments: