ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 27, 2012

TAMKO LA PONGEZI KWA KUPITISHWA KWA BAJETI YA SERIKALI 2012/2013

NEW YORK
KWA NIABA YA WANA CCM NEW YORK NA VITONGOJI VYAKE (TRI STATES)  TUNAYO FURAHA KUBWA KWA KUTOA TAMKO LA PONGEZI KWA WAHESHIMIWA WABUNGE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA KUPITISHA BAJETI YA FEDHA MWAKA 2012-2013. PALIKUWEPO NA JAZBA KABLA YA KUPITISHWA BAJETI HIO NA HADI KUFIKIA UPOTOFU WA NIDHAMU BUNGENI KWANI MUHESHIMIWA RAIS JAKAYA M. KIKWETE AMEITWA MAJINA YASIOFAA NABAADHI  YA WABUNGE. KWA HIYO SISI WANA CCM TULIAMINI KUA JAZBA HIO NI YA MUDA MFUPI NA KUWA KAMA" THE WINDS OF ENDELESS WAR". MARA NYINGINE TENA TUNAKUPONGEZENI WABUNGE WALIOSHIRI TOKA MWANZO WA MAZUNGUMZO YA BAJETI NA HADI KUFIKIA KILELE CHAKE.

KWA NIABA YA WANA CCM NEW YORK NA VITONGOJI VYAKE TUNATOA SHUKRANI ZA DHATI KWA MWENYEKITI WA CCM TAIFA, RAIS JAKAYA M. KIKEWTE KWA MUONGOZO WAKE THABITI NDANI YA TAIFA LETU.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.



M.  MAFTAH
MWENYEKITI CCM, NEW YORK NA TRI STATE
June 27, 2012 

3 comments:

Anonymous said...

Ngudu mwenyekiti wa New York,
Unashuriwa sana nasi vijana tunaoshi ughaibuni kwa Tamko rasmikwani upotofu wa nidhamu bungeni haufai kabisa. vilevile tunakuomba uzidi kutoa tamko kila jambo linapotokea nyumbani ao ughaibuni hususan kwa jamii ya watanzania na zaidi kuhusu CCM. CCM juu zaidi
Khamis Ramadhan, safarini KSA

jim said...

Pongezi sana wanaCCM kwa ushupavu wenu mahiri lazima kutoa maoni yenu popote mlipo ili kuona Tifa letu lineelekea kwenye njia sahihi bila upotoshaji wa habari. CCM juuuuuu

Anonymous said...

Buuuuuu two thumbs down.