Bi Harusi mtarajiwa (watano toka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na ndugu , marafiki na jamaa waliofika kutoka DMV na sehemu mbalimbali hapa Marekani kwenye Kitchen Party yake iliyofanyikia College Park, Maryland, Nchini Marekani.
Wageni waalikwa waliokuja kutoka Massachusetts wakipata picha ya pamoja.
WanaDMV nao wakipata picha ya kumbukumbu.
Bi Harusi mtarajiwa (wa nne toka kulia) akiwa na ndugu, jamaa na marafiki katika picha ya pamoja.
WanaDMV wakiwa katika picha ya pamoja na WanaATL kwenye Kitchen Party ya Achotto iliyofanyikia College Park Maryland, Nchini Marekani.
Bi Harusi mtarajiwa (wanne toka kulia) akipata picha ya pamoja na ndugu, jamaa na marafiki waliofika kwenye Kitchen Party yake iliyofanyika Jumamosi June 23, 2012, College Park, Maryland.
Wageni waalikwa kutoka Atlanta, Georgia wakiwakilisha ATL.
Massachusetts nao ndani ya nyumba.
Bi Harusi mtarajiwa (wanne toka kulia) katika picha ya pamoja na ndugu, jamaa na marafiki.
mpambe wa Bi Harusi mtarajiwa Saudath Juma ( wakwanza kushoto) toka Miami Florida akipata picha ya pamoja na familia ya Achotto.
Marafiki wakipata picha ya pamoja.
Bi Harusi mtarajiwa pamoja na wageni waalikwa wakipata picha ya pamoja
Bi Harusi mtarajiwa katika ukodak moment
1 comment:
nataka kuliza swali wadau wenzangu mnaamaanisha nini mkisema BABA MWENYE NYUMBA WAKE AU MAMA MWENYE NYUMBA WAKE, Ninachojua mimi ni kwamba ume panga katika nyumba hiyo lakini navyo hisi ni kwamba wamemaanisha mke au mumeo mtu ndu kiswahili cha siku hizi mwisho halafu hata neno la kiswahili siku hizi eti halitumiki lina tumika kwamfanyo LEAR SWAHILI, DUU hii kali naomba mnijibu waungwana wenzangu thank you
Post a Comment