VIDEO YA AJ UBAO & LINAH "ALL I NEED" YATUA VIJIMAMBO
TANZANIAN SINGER/RAPPER "AJ UBAO" WHO LIVES IN AMERICA AND "LINAH" WHO LIVES IN TANZANIA COLLABORATED IN THIS BRAND NEW HOT JOINT CALLED U ALL I NEED,LISTEN KWA MAKINI THE SONG IS ABOUT LOVE AND AFFECTION,THE BEATS PRODUCED BY AKILI MTAALAM & DAVID ZYMBO,ENGINEERED AND MASTERED BY CARL,THE VIDEO IS DIRECTED BY DICKSON (DMK) & ROMMEL AND EDITED AND MIXED BY DMK OF DMK GLOBALPROMOTIONS.COM
4 comments:
umejitahidi kidogo aj kaza but bababkeee
Lina haonekani kama yupo comfortable kabisa kwenye hii video, AJ next time give people their space....haya ni maoni yangu tu.
AJ umejitahidi ila nyimbo zako zote zote zinafanana sana,I mean unaimba style moja,yani tofauti ndogo sana kati ya nyimbo zako,pia zinakua zimepooza sana, lina saut imechangamka kidogo ,AJ ukichangamsha sauti zaidi itakua pa,kama vp tafuta produce mzuri bongo akusaidie
hujaweke comment yangu siyo dj luke hakuna noma lakin bwana mwambiye basi bwana mdogo ache fani ya kuimba atafute kinginecho afanye hana sauti na hii basi ibaniye usiweke sawa
Post a Comment