.Cane na Mganga wakijiandaa kuingia kwenye ukumbi wa graduation Verizon Centre Washington Dc kwenda kuchukua nondo zao
Mdau Cane Mwihava akisheherekea na dada yake Neema bada ya kuchukua nondo.
.Mdau Mganga na familia yake wakisheherekea baada ya kuchukua nondo zake
Wadau Cane Mwihava na Mganga Muhombolage wakiwa na Neema baada ya kukamata nondo zao kutoka chuo kikuu cha Strayer Washington Dc.
Mganga Muhombolage akipongezwa na kaka yake aliyesafiri kutoka Tanzania kushuhudia mahafali hayo ya Chuo kikuu cha Strayer .
No comments:
Post a Comment