ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 3, 2012

WANAMITINDO SIKU YA NGOs ROUND TABLE

Mwanamitimbo Mbunifu anaechipukia kwa kasi, Missy Temeke (kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Gwiji la mitindo Asya Idarous Khamsin, kulia na Model Kie Mlay.
Mama lao la mitindo wa Fabak Fashion akiwa kwenye mjadala wa NGOs Round table
Fabak Fashion ya Asya Idarous Khamsin na KWETU Fashin Design by Missy Temeke 
kushoto ni Missy Temeke akiwa na Model wake Kie akipata picha na Mr. Mbasha, Kati ni Mercy Dachi na kulia ni Missy Temeke na Model Kie Mlay. 
Ma Winny Case wa Mitindo Nite akionyesha kazi zake siku ya NGOs rond table.
kutoka shoto ni Afisa Ubalozi Asia Dachi, Joyce Rwehumbiza, Missy Temeka na Model Kie Malay.
Missy Temeke akiwa na Model Kie
Mhe. Balozi akikabidhi cheti cha udhamini kwa Sunday Shomari  Blog kuotka kwa Asya Idarous Khamsin, Sunday Shomari alidhamini mashindano ya Lady In Red yaliyofanyika mwezi Feb, 10, 2012 Dar Es Salaam.
Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar akikabidhi cheti cha udhamini kwa VIJIMAMBO kutoka kwa Asya Idarous Khamsin, VIJIMAMBO ilikua mmoja wa wadhamini wa Lady In Red iliyofanyika Feb 10, 2012 jijini Dar.
Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar akikabidhi cheti cha udhamini kwa KWETU Design kutoka kwa Asya Idarous Khamsin, KWETU Design ilikua mmoja wa wadhamini wa Lady In Red iliyofanyika Feb 10, 2012 jijini Dar.
Kwa picha zaidi Bofya Read more

No comments: