Mama wa Marehemu Domitian ( watatu toka kushoto aliyevaa nguo nyeupe) akisindikizwa na ndugu, jamaa na marafiki kuelekea kwenye kiti chake baada ya kumuaga mpendwa Mwanae katika ibada ya iliyofanyika College Park Jumatano June 27, 2012.
Picha juu na chini ni Wachungaji kutoka madhehebu mbalimbali waliojumuika pamoja na Watanzania waishio DMV na vitongoji vyake kwenye ibada ya kumuaga kaka,Mtanzania na mpendwa wetu Domitian Rutakyamirwa iliyofanyikia College Park Jumatano June 27, 2012.
Kulia ni Mama ya merehemu akiwa na Mimi Kente ambae marehemu ni mtoto wa Baba mkubwa.
Kushoto ni dada ya marehemu aliyekuja kwa ajili ya kumuuguza kaka yake akiwa pamoja na Mama Salma Moshi, msanii wa siku nyingi na maarufu kwa kucheza ngoma ya asili ya kucheza na nyoka.
Kulia ni mke wa marehemu akiwa na mmoja ya ndugu zake
Mubelwa Bandio rafiki wa karibu wa marehemu akisoma wasifu wa marehemu.
Mama Salma Moshi akitoa shukrani kwa niaba ya familia.
Familia ikiombewa na mchungaji.
Juu na chini Watanzania wa DMV waliofika kumuaga mpendwa wao.
Watanzania wa DMV wakiaga mwili
Mpendwa wetu akiondolewa kanisani baada ya Ibada.
Kwa picha zaidi Bofya Read More
9 comments:
May ur soul R.I P. Brother.
rest in peace
Rural and Urban Blog tunawapa pole wafiwa wote, Mungu awape Nguvu katka kipindi hiki kigumu cha majonzi
RIP Dommy...ushirikiano mzuri wana DMV.
Swala la kununua ile insurance ya NSSF WESTADI ninge-suggest lipewe kipaumbele na liwe la lazima na atakaye kataa basi atueleze sababu. hii kitu imesaidia sana
"bwana ametoa na bwana ametwaa" poleni sana wafiwa
rest in peace
RIP Domitian
RIP brother. Bwana ametoa na bwana ametwaa, Jina lake libarikiwe.Amen
Ni siku zimepita lkn bado tunakukumbuka, pole sana mama na baba wa marehemu, mtoto wa marehemu na ndugu zake wote kwani bado mnamachungu maishani mwenu kwa kuondokewa na mpendwa wenu. Mungu awatie nguvu kumtunza mtoto wa marehemu
Post a Comment