Monday, July 16, 2012

TAMCO FAMILY DAY

Park ilikofanyika TAMCO Famuli Day iliyopo Silver Spring, Maryland na kuwajumuisha Watanzania wa DMV na wachache kutoka majimbo mengine Jumapili July 15, 2012.
Uwesu akifanya vitu vyake.
Khalid (shoto) akijaribu kumchagulia Mganga kamnofu kalikookua tayali.
Rais wa Watanzania DMV Iddi Sandaly (watatu toka kushoto) akipata picha ya pamoja na Watanzania waliojumuika pamoja kwenye TAMCO Family Day kwenye Park iliyopo Silver Spring, Maryland.
Watanzania waliojumuika pamoja wakibadilishana mawili matatu.
Juu na chini ni mwanamitindo wa siku nyingi Asya Idarous Khamsini aliyekuja toka Houston, Texas akipata picha na Rais wa Watanzania DMV Iddi Sandaly (picha juu) na wadau wengine wa DMV.
Watanzania waliojumuika pamoja kwenye TAMCO Family Day wakipata picha ya pamoja.
Wakina mama waliojumuika pamoja na Watanzania DMV kwenye TAMCO Family Day wakipata matunda huku wakiongea mawili matatu.
Kwa picha zaidi Bofya Read More

No comments: