Monday, July 16, 2012

DORA'S BABY SHOWER

Allen na Dora wakiwa meza kuu kwenye Baby shower ya Dora iliyofanyika Jumapili July 15, 2012 Riverdale, Maryland, Nchini Marekani na kuhudhuliwa na Ndugu, Jamaa na Marafiki.
Allen na Dora  wakikata keki.
Allen na Dora wakiitayarisha keki tayali kwa kulishana huku Fatuma (kulia) akiwasaidia
 Dora akimlisha Allen Keki
 Allen akimlisha Dora Keki
 
Juu na chini ni familia za Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani zikijumuika pamoja kwenye Baby shower hiyo.
Ndugu, Jamaa na Marafiki wakijumuika pamoja
Wageni waalikwa wakipata picha ya pamoja.
Kwa picha zaidi Bofya Read More

1 comment:

giselle Ak. said...

ALL THE BEST MPENZI DORA...MUNGU AKUTANGULIE NA KUKUPA FURAHA TELE.