Bwana Harusi Terry akiongea machache
Bwana na Bibi Harusi wakila pozi kwa camera
Bwana na bibi Harusi na ujumbe mzito
Bwana na bibi Harusi ndani Rolls - Royce phantom
Urban Pulse wakishirikiana na Miss Jestina Blog wanakuleta taswira ya harusi ya Bwana Terry Na Bi Regina iliyofanyika siku ya jumamosi tarehe 7.7.12 katika mji wa Reading hapa Uingereza. Harusi hii ilipendeza sana na kukuhudhuriwa na wadau kutoka sehemu mbalimbali.
Tunawatakia maharusi kila la kheri katika safari yao mpya walioanza leo, Mungu awabariki,
Asanteni,
Urban Pulse na Miss Jestina George
Bwana na bibi Harusi
Bwana na bibi harusi wakiwa na furaja tele
Cheeeeeeaaz!!
Maharusi wakijiandaa kukata keki
Maharusi wakila mapozi baada ya kufunga harusi
Maharusi wakitia sahihi cheti cha ndoa
Maharusi wakitoka kanisani baada ya kufunga ndoa.
Mr & Mrs Allan Kalinga wakipata msosi
Mr & Mrs Terry wakifungua mziki
Mr & Mrs Terry
Mwenyekiti wa kamati Mr Upete akikabidhi zawadi kwa niaba ya kamati ya maandalizi
Picha ya Pamoja baada ya kumaliza kufunga ndoa
champagne ikifunguliwa
kaka na dada harusi wakila pozi
sherehe zikiendelea
No comments:
Post a Comment