ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 9, 2012

MISA YA MZEE JOSEPH KORASSA, DMV


 Jack Korassa Kulia mtoto wa Marehemu Mzee Joseph Korassa akiwa na ndugu yake aliyekuja toka Canada kwa ajili ya kuamfariji mfiwa na kuhudhulia Ibada ya Marehemu ilyofanyika Jumapili July 8, 2012 katika kanisa la The Way Of The Cross Gospel Ministries lililopo College Park.
 Picha ya Mzee Joseph Korassa ilivyopambwa na maua aliyotengeneza Susan Malima.
 Katibu wa Jumuiya ya Watanzania DMV, Amos Cherehani akiongea jambo.
Mchungaji John Mbatta akiongoza Ibada.
 
Jack Korassa akiingia kanisani akiongozana na Mchungaji Ferdinand Shideko.
 
Jack Korassa akiliwazwa na Aunty yake aliyekuja toka North Carolina.
Sally Beauty akisoma somo.
Quizella Ntagazwa akisoma somo.
Juu na chini ni Frank Mhina na mkewe wakiongea jambo kumfariji Jack Korassa (hayupo pichani) kwenye Ibada ya Mzee Joseph Korassa ilyofanyika Juamapili July 8, 2012 College Park.
Kaimu Balozi Mhe. Lilian Munanka akiongea maneno machache ya kumfariji mfiwa.
Dick Small akiongea jambo na jinsi gani anavyomfahamu mfiwa pamoja na familia yake.
Jack ndugu wa mfiwa akiongea machache.
Aunty akimsaidia Jack kuzima mshumaa.
Kwa picha zaidi Bofya Read More

 
 

2 comments:

Anonymous said...

RIP Mr. Korassa, very touching

watu wa DMV dumisheni huu ushirikiano mlionao.

Anonymous said...

The event was very moving. Good job people of DMV. Inatia moyo sana kuona mnafarijina kiasi hicho. Please keep doing what you are doing and God will definetely pay you back. R.I.P Mr Korossa.