Sunday, July 15, 2012

HATIMAYE DAVID HAYE AMKATA KILIMI CHISORA AMTANDIKA KWA KNOCK OUT


Mwanasumbwi David Haye akimuadhibu Chisora kwenye mpambano wao uliofanyika usiku wa kuamkia leo jijini London kwenye uwanja wa Upton Park..
Mabondia wawili raia wa Uingereza wamekuwa kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe tangu walipotwangana kwenye mkutano wa waandishi wa habari jijini Munich wakati Chisora alipokuwa akipigana na Klitschko, hivyo baada ya maneno maneno leo wakapnda ulingoni na kumaliza ubishi na mwisho wa siku Haye akaibuka mshindi kwa kumtwanga kwa knock out kwenye raundi ya tano.


No comments: