Sunday, July 15, 2012

STARS UNITED YACHEZA PUNGUFU YAFUNGWA 4-5 NA KENYA

 Makepteni wa Vitambi FC na Stars United Victor (kushoto) na Shaban (kulia) wakipata picha ya pamoja na Ref wa mpambano huo (Odis) uliofanyika Jumamosi July 14, 2012 katika viwanjwa vya Greencastle, Maryland na Vitambi FC kuibuka mshindi kwa Bao 5-4 dhidi ya Stars United waliocheza pungufu ya mchezaji mmoja muda wote na kwa mara ya kwanza Didi Vava alisimama katikati ya milingoti miwili na kua nyota wa mchezo.
 Makepteni wakipiga picha ya pamoja.
 Mashabiki na wachezaji wa Timu ya Vitambi FC
 Wachezaji wa Vitambi FC

 Timu ya Vitambi
 Timu ya Stars United
Shabiki w Vutambi FC

No comments: