Kwa niaba Ya mke wa Marehemu Imani Kibelloh, na wa toto wake Omary Kibelloh, Omran Kibelloh wanawaajulisheni kuwa Uchunguzi wa wa madaktari wa umekamilika ,na mazishi yatafanyika Kesho Ijumaa ,saa saba mchana ,Baada ya Sala ya Ijumaa Msikiti wa Roxbury,
100 Malcolm X Blvd,
Roxbury MA 02120.
Na Marehemu atazikwa
670 Baker St,
West Roxbury, MA 02132.
Hitima itasomwa siku hiyo hiyo Baada ya kutoka makaburini
5 warden st,
Saugus MA 01906
Tafadhali park gari yako Eustis St, au Whitney St
Tuwiyane radhi kwa usumbufu wowote utakaotokea katika kipindi hiki kigumu kwetu sote
Kwa mkono wapole tumia. Bank of America kwa kupitia Halima Omary Yussuf (Chunda) Routing #011000138 na account# 004638984578. au fika nyumbani kwa wafiwa,
K wa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana
Isaac Kibodya 4132191153
Salum Salum. 6173082971
Fadhili Malima 781-437-2776
Kassim Mussa. 617 3190981
Abdallah Masoud. 1-857-247-2021
Halima Chunda 16179535375
Francisca. 17818799050
No comments:
Post a Comment