Justice Munuo 26: Mhe. Mwanaidi Maajar, Balozi wa Tanzania Marekani na Mhe. Jaji Eusebia Munuo ambaye ni Rais wa Chama cha Kimataifa cha Majaji Wanawake wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa hafla fupi ya kumkaribisha Jaji Munuo DC leo tarehe 26 Julai 2012.
Juu na chini ni Mhe. Jaji Eusebia Munuo ambaye ni Rais wa Chama cha Kimataifa cha Majaji Wanawake na Mhe. Mwanaidi Maajar, Balozi wa Tanzania Marekani wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa wa Ubalozi wa Tanzania na chini wakiwa na baadhi ya wana Jumuiya ya Watanzania DMV.
Maafisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani wakiwa na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Mhe. Idd Sandaly
Balozi Maajar akimvalisha kanga Jaji Munuo wakati wa hafla fupi ya kumkaribisha Washington DC kama Rais wa Chama cha Majaji Wanawake iliyofanyika Ubalozini tarehe 26 Julai 2012. Wakati wa hafla hiyo, majaji wote walio kwenye chama hicho pia walizawadiwa kanga na Balozi Maajar.
Jaji Mnuo akiongea jambo wakati wa hafla fupi ya kumkaribisha Washington DC kama Rais wa Chama cha Majaji Wanawake iliyofanyika Ubalozini tarehe 26 Julai 2012
Balozi Maajar akiongea wakati wa hafla fupi ya kumkaribisha Washington DC kama Rais wa Chama cha Majaji Wanawake iliyofanyika Ubalozini tarehe 26 Julai 2012
Kaimu Balozi Mhe. Lilian Munanka akiongea jambo wakati wa hafla fupi ya kumkaribisha Washington DC kama Rais wa Chama cha Majaji Wanawake iliyofanyika Ubalozini tarehe 26 Julai 2012
Kwa picha zaidi bofya Read More
No comments:
Post a Comment