Sunday, July 15, 2012


TANZIA
 Jeffrie Bernard Jones
wakati wa uhai wake

Jeffrie Bernard Jones, mume wake Florah Mnkande alipokuwa anatoka Ohio siku ya Jumatatu Julai 9, 2012 alipata ajali ya gari.  Amefariki dunia Julai 14, 2012.  Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake
18114 Samuel Circle
Hagerstown, MD 21740
Kwa ajili ya mazishi, accounts imefunguliwa kama ifuatavyo kupitia Florah Anna Mnkande:
Bank of America - Routing# 052001633 na account# 446024022257
Siku ya Jumatano Julai 18, 2012  - saa 10 jioni kutakuwa na harambee (mnada) itakayofanyika katika kanisa la “The Way of the Cross Gospel Ministries” (HUDUMA YA INJILI KWA NJIA YA MSALABA) lililopo   3621 Campus Drive, College Park, MD 20740.  Tafadhali shiriki kwa kuleta mchango wako au kitu cha kunadi.
Tunatarajia mazishi yatafanyika Jumamosi Julai 21, 2012.  Ibada ya mazishi itaanza saa tano(5) asubuhi katika kanisa  hilohilo hapo juu.
Kwa taarifa zaidi tafadhali wasiliana na:
Baraka Daudi              301-792-8562
John Mbatta                703-863-2727
Ferdinand Shideko      240-476-6718
Salum Mkamba           443-538-1821
David Mtema              703-589-0616
Lutamila Sallu             202-487-1843
Julia Shirima               301-305-5731
Rossie Wasira Masika 240-706-0406

No comments: