Sunday, July 15, 2012

THE WORD OF GOD SEMINAR


 
Leo ktk semina zitakuwepo DVD za mahubiri ya Mwakasege ya mwezi
25-27 Minesota na za Juni 1-3 Dallas TX. Zipo parkage mbili, @parkage ni 6 kwa
5 discs. Zote 11 ni $ 110. Kwa mawasiliano watupigie simu zifuatazo:-
                              202 520 3243 na 202 710 5290.
Leo semina inaanza mapema
saa nane kamili mchana. Address ni 12805 Georgia Av, S/Spring MD 20906.

Mchungaji Malekela.

No comments: