Sunday, July 15, 2012

SHUKRANI ZA DHATI


Kwa niaba ya mke wa marehemu Imani kibelloh na watoto wake Omary Kibelloh na Omran Kibelloh  wanatowa shukurani zao dhati kwa kushuhulikia kwa kikamilifu Maziko ya Patrin Kibelloh jumuuya ya watanzania inashukuru kwa  upendo na umoja mliouonesha katika kipindi chote cha msiba kwani bila ya umoja wenu na ushirikiano wenu lisingelikuwa kama hivi.

Tunawashukuru wale wote waliopo  Boston ,na nje ya Boston.tunawaomba muendelee na moyo huo huo katika shughuli zote za kijamii.Vilevile tunawashukuru wale wote waliotoa michango yao kwa hali na mali kwa ajili kumsindikiza  Marehemu kwenye njia ya haki.Mungu awabariki nyote na awapeni mazuri hapa duniani na kesho akhera.

Kamati ya mazishi.

No comments: