ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 9, 2012

VIVAZI VILIVYO TIA FORA WEEKND YA SABA SABA TWIN CITIES MINNEAPOLIS

Tina Temu kutokea Chicago na Ney kulia katokea Surrey London UK, Maama Ney yuko vocation U.S.A kupitia New York to Twin Cities Minneapolis. Hiyo yote ni kula bata la saba saba kabla ya kurudi katika jiji la London kuendelea na michakato ya maisha yake ya kila siku. 
Ney akiachia tabasamu mbele ya camera ya vijimambo 
hiki kivazi ingawa kinaoneka mshono wa khanga lkn kimetia fora na kinavutia 
Kila mmoja alikuwa na pozi lake mbele ya ukodak wa vijimambo 
Ukitaka kupiga picha pozi muhimu sana pozi lolote unalojisikia utakubarika tu mbele ya ukodak wa vijimambo 
Kwa picha zaidi na matukia bonyeza (Read More) 

3 comments:

Anonymous said...

mapajaz and nywelez.....

Anonymous said...

nyumbani ni nyumbani....dada mwenye singlendi ya njano picha ya tatu kutoka chini,kama uko single, nilikuwa naomba kontakt zako ikiwezekana email ningependa kukufahamu.feel free.
Mdau Ughaibuni///
snockxx@yahoo.com

FunkHouse! said...

Sio mchezo. I was soo busy, I missed half of this. Lakini palikuwa hapatoshi Minne~Snow~Ta. Karibuni mwakani.