Sunday, August 19, 2012

FURAHA AVISHWA PETE, HARUSI NI DECEMBER MWAKA HUU

Furaha Moshi akiwa na mchumba wake Isaac Obiomon katika sherehe ya kuvalisha pete ya uchumba iliyofanyika Jumamosi Aug 18, 2012 Lanham, Maryland.
Isaac akiongea jambo kabla ya kumvalisha pete Furaha
Isaac akipiga goti na kuuliza kuolewa na Furaha
Furaha amejibu ndio na Isaac akifanya taratibu za kumvisha pete
Isaac akimvisha pete Furaha na mtoto wao akimchum mama yake kwa furaha
Furaha akimlisha keki Isaac
Isaac akimlisha keki Furaha
Wakinyeshana Champaign
Firaha Moshi na Isaac Obiomon katika picha ya pamoja
Furaha akipiga picha na kaka yake Aman Moshi
Furaha na mchumba wake katika picha ya pamoja na Amina
Familia ya Bwana na Bibi Moshi  ambao ndio walikua wenyeji wa sherehe wakipata picha ya pamoja.
Kwa picha zaidi Bofya Read More

1 comment:

Anonymous said...

hongera sana furaha umepata bwana mzuri