Sunday, August 19, 2012

DIAPERS & PINS YA MR AND MRS LESLIE KOMBE

Keki ikiwa tayari kukatwa
Mshereheshaji akiwakaribisha Mr & Mrs Leslie Kombe (hawapo pichani) kukata keki kulia ni Mrs Kasembe.
Mr & Mrs Leslie Kombe wakikata keki katika sherehe ya Pins na Diapers iliyofanyika nyumbani kwao Jumamosi Aug 18, 2012 Upper Marlboro, Maryland.
Waandaaji wakitayarisha keki kwa wageni rasmi
Familia ya Kombe katika picha ya pamoja.
Mama Kombe (kati) katika picha ya pamoja na ndugu na jamaa waliofika kwenye sherehe ya wanawe na mjukuu
Juu na chini ni Mrs Leslie Kombe (kati) akisalimiana na wageni waliojumuika pamoja kwenye sherehe yao
Mama Kombe katika picha na mmoja wa wanafamilia
Mrs Leslie Kombe (kushoto) akipata picha na wageni wake waliojumuika nae katika sherehe yao ya Diapers & Pins iliyofanyikia nyumbani kwao Upper Marlboro.
Kwa picha zaidi Bofya Read more


No comments: