Sunday, August 19, 2012

MWILI WA MPIGANAJI ALFRED MBOGORA WASAFIRISHWA LEO

Mamia ya Waandishi wa habari leo wamejitokeza kwa wingi kumuaga mwandishi mwenzao Alfred Mbogora aliyefariki jana katika hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuugua ghafla, mwili wa marehemu umesafirishwa leo kwenda Musoma.

No comments: