ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 22, 2012

LINDA BEZUIDENHOUT (LB) TURNS 40 - Tanzanian Designer-Business woman-Beautician

 Linda wa Enzi hizo
 Linda akiwa anampamba Mbilia Bel kabla hajaanza maonesho.  Kivazi alichovaa linda ni (LB) tangu enzi hizo
 Linda akiwa anamwonesha Koffi Olomide vifaa vyake vya facial vya kisasa vinavo ondoa wrinkles kwa laser hivi ni vifaa vinavotumika kwenye saloon za kisasa tulikuwa tunavo Tanzania 1998 kwenye saloon ya Linda. kifaa cha nyuma kabisa cha kwenye briefcase shuguli yake ilikuwa ya ku exfoliate na kuondoa blemishes.
 Linda akiwa na wanae siku ya grand opening ya the New MILANO
 Linda akiwa Baltimore inner harbour akiwa kwenye vazi alilo design
LB akiwa kwenye tabasam la furaha mno huku akiwa anadesign moja ya design zake zinazoendeana na jina brand name ya LB
Juu na chini ni Designer ( LB ) akiwa kwenye shuguli zake za kudesign nguo
 
 Designer Linda Bezuidenhout akiwa anamwonesha designer mwenzie heleni na nguo alizo design
Kwa picha zaidi bofya read more

 Linda akiwa na mwanae wa kwanza wote wakiwa wamevaa LB nguo alizo design
 Linda akiwa Dukani kwake
Juu na chini ni  LINDA BEZUIDENHOUT (LB), Tanzanian top beautician, designer (LB) na mfanya biashara wa siku nyingi, pia ni mwanachama wa CHADEMA. Chama cha wapenda haki.
Hii ndio logo ya nguo anazo design LINDA BEZUIDENHOUT (LB)

4 comments:

Anonymous said...

HAYO NDO MANENO UKWELI MTUPU TUOKOE NDUGU ZETU NYUMBANI KWA MAENDELEO SIO KWA KUFA NJAAA MASIKINI MA MATAJIRI KULA RAHA HAPO NDO NINAPO KUPENDEA SIS LINDA SEMA NAOOOOO>

Anonymous said...

That's what we are calling designing and someone can be called a designer and not copying other peoples' job and modify their work and call yourself a designer. Go my cousin Go...You reminded me of Lamia Salon those days at Konondoni....Mashallah cousin, you got beautiful designs, can wait to have mine sent to California. I can see brother Sekulu too...wow.. This is God given talent and you know how to work it cuz....May Allah Bariq your artful and creativity mind, and HE will give those hands, eyes and body strength todo a wonderful design and Inshaallah HE will Prosper you!
Your Cuz H @ California.

Admin said...

thats wassup my sis, good job LB

Jane Standard said...

Awwwwwww,safi sana Linda ,nimefurahi sn kumuona Leyla ...Mungu azidi kubariki kazi ya mikono yako