Mcheza mpira wa kikapu wa timu ya Chicago Bulls raia wa Sudan ya Kusini Luol Deng kwa kushirikiana na Hasheem Thabeet watafanya clinic -draft program ya siku mbili kwa ajili ya wanafunzi wa shule za sekondari jijini Dar es Salaam tarehe 24 na 25 mwezi huu katika viwanja vya Don Bosco .
Clinic hii itakuwa maalum kwa kutoa mafunzo kwa vijana wa kitanzania ambao wana vipaji vya kucheza Basketball ili kuweza kukuza vipaji vyao zaidi.
Kabla ya kuja Bongo Luol na Hasheem walikuwa nchini Kenya, na leo mchana kwenye mtandao wa Twitter kuwa anakuja Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake