Friday, August 24, 2012

PAUL KAGAME ALIVYOWAKARIBISHA YANGA KWENYE IKULU YA RWANDA

Nahodha wa Yanga na kocha wakimkabidhi kombel la Kagame - mdhamini mkuu wa kombe hilo Raisi wa Rwanda Paul Kagame.
Timu hiyo ya yanga kabla ya kwenda kuonana na rahis walianza kwa kutembelea makaburi na Makumbusho ya mauaji ya Kimbari ya mwaka 1994, yaliyotokean nchini Rwanda. Timu hiyo iko nchini Rwanda kwa mwaliko wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame, ambapo pia itacheza michezo mitatu ya kujipima nguvu na timu za nchini humo ikiwa ni sehemu ya mazoezi ya kujiweka sawa na kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu inayotarajia kuanza Septemba 15, mwaka huu.
Mama Karume na Seif Magari wakimkabidhi Kagame jezi ya Yanga
Paul Kagame akiongea na Wachezaji wa Yanga




Mchezaji Mbuyi Twite akiwa na wachezaji wenzie wa Yanga Ikulu ya Rwanda walipoalikwa na Rais Paul Kagame.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake