Bondia Sako Mwaiseje kushoto akipambana na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' katika mpambano wao uliofanyika siku ya Iddi pili King Class Mawe alishinda kwa T.K.O raundi ya tatu |
Rajabu Mhamila Super D Boxing Coach Ashanti na Ilala wa pili kushoto akiwa na furaha ya ushindi baada ya bondia wake Ibrahimu Class kumpiga Sako Mwaiseje kwa T.K.O raundi ya tatu |
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akinuliwa mkono juu baada ya kumtandika mpinzani wake Sako Mwaiseje kwa T.K.O raundi ya 3 wakati wa mcheo wao wa kirafiki uliofanyika siku ya Iddi pili katika ukumbi wa Diamond Jublee.Picha na www.superdboxingcoach. |
No comments:
Post a Comment