Mama Kimolo anawakaribisha ndugu na marafiki kwenye birthday dinner ya mama yetu mpendwa Maria Mushi itakayo ambatana na ibada fupi, dinner hiyo itafanyika 08/11/12 Leo jumamosi kuanzia saa 12 jioni (6 PM) hadi saa 8 usiku (2 AM).
Address ni
4660 Martin Luther King Ave, Apt C-111 SW,
Washington DC 20032.)
Dinner hiyo itaambatana na fundraising ya kuwezesha mama yetu Maria Mushi kupelekwa Mayo Clinic kwa matibabu zaidi kutokana na maradhi yanayo msumbua. Tafadhali ndugu na marafiki tunawakaribisha na tunaomba mchango wako ili tufanikishe mipango hiyo ya matibabu.. Mama Kimolo phone # 301 792 5354.

No comments:
Post a Comment