Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akikaribishwa na Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Sixtus Mapunda na Kada wa CCM Hassan Bantu (kulia) alipowasili kwenye ukumbi wa shule ya sekondari ya Forest ambako aliandaa futari kwa ajili ya mabalozi wa nyumba kumi na viongozi wengine wa ngazi mbalimbali wa CCM kutoka wilaya za mkoa wa Morogoro jioni hii ya leo Agosti 17, 2012.
Nape akihutubia baada ya kufuturisha
Nape akihutubia huku wazee wakimsikiliza kwa makini.
Sheik Khamis Ali Mbilikila akisoma dua baada ya futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Nape akishiriki kuomba dua baada ya futari. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro
Kina mama wakishiriki kuomba dua baada ya futari
Kina baba wakiomba dua baada ya futari hiyo
Nape, Bendera na Kingu wakiwa wamesimama baada ya futari hiyo.
Badhi ya waalikwa wakimshukuru Nape kwa kuandaa futari hiyo
Nape na mbunge wa zamani, Semindu Pawa wakifurahia jambo baada ya kuonana kwenye futru hiyo
Nape akiagana na mjumbe wa nyumba kumi Zuberi Fikirini baada ya futari. Mjumbe huyo ni mlemavu wa miguu
Kwanza Nape alikutana na mkuu wa mkoa wa zamani wa Morogoro Steven Mashishanga wakasalimiana kwa furaha na bashasha ya hali ya juu
Waumini walisali kwanza kabla ya futari
Kisha wakajumuka kufuru
Mashishanga, Fikiri juma wa mjini,Nape na wa mkoa petro kingu wakifuturu, futari iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Sixtus Mapunda na Msaidizi wa Katibu NEC, Itikadi na Uenezi, Taifa, Okctavian wakifuturu
Babu akijisevia futari, wakati wa futru hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel; Bendera akijinafasi wakati wa futru hiyo
Kina mama wakifuturu
Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro, Sixtus Mapunda akimshukuru Nape kwa kuandaa futari hiyo
3 comments:
CCM kwa kutumia futari Kama siasa siwawezi. Mbona Yule Jery wa Ilala ni CCM lakini kafuturusha bila kuitaja CCM?. Au raisi wa nchi kafuturusha bila kutaja CCM. Mwezi wa ramadhani ni wa mwenyezi mungu acheni propaganda za siasa kutumia kwenye futari jamani. Kwani mgesema NAPE afuturisha isingetosha.?? CCM CCM kila picture kha?.
Wewe hapo juu hebu soma kichwa cha habari.Hakijasema Nape wa CCM afuturisha!ila katika picha wanaelezea hao watu ni akina nani kwa mfano huyo ndio Nape sijui nani nani wa ccm!lazima ufahamisha ndio ujue huyu ni nani!wewe uone picha bila kujua au unamuona mtu lakini hujui ni nani?si kwa watu wakubwa hata sisi uswahilini pia!unaweza kuona picha ya dj luke humjui lakini akifafanuliwa unamjua!acheni majungu PEOPLEEEEEEE!!!.
wapeni watu uwezo wa kiuchumi sio kukimbilia kuwafuturisha. Watu wanamahitaji mengi ya msingi hivyo wawezeshwe ili wayakabili matatizo yao na sio kuwafuturisha na hatimaye kuwaacha wakiwa na matatizo yao.
Post a Comment