pita pita ya kamera ya vijimambo mitaa ya 119 St na 7 ave Uptown Harlem, NY nikawakuta akina dada hawa wanapigana katikati ya barabara kama unavyoona sikutaka hata kujua kulikoni mimi nikachukua ukodak wangu nika potea kabla awajanigeukia na mimi na kunikimbiza mweh. Jamaaa akijaribu kuwa tenganisha..........
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake