Kampuni ya Best travel solution inayo husika na kutoa huduma za ukataji tiketi za ndege Tanzania na ukanda wa afrika mashariki imetoa udhamini wa mfululuzi wa motiovational seminar zinazoandaliwa na mikono business consult za kila wiki ,Hayo yameelezwa na Afisa masoko wa Best Travel solution James Masera na udhamini Huo ni Mwaka Huu ,Tanzania Sasa ni wakati wa Tanzania kuwezeshwa na soft skills za Biashara ili waweze kushindana vema katika soko la dunia ,Motiovationa talks Ni moja ya jambo muhimu sana ambalo limeziwezesha nchi za magharibi kuwa ukanda wenye watu wenye ushindani sana kwa dunia,Ni jambo ambalo linahitaji Kuchukua nafasi Tanzania ili kuweza kutimiza Ndoto ya Tanzania Vision 2025 alisema Deogratius kilawe Mwenyekiti mtendaji wa Mikono business consult Tanzania,Wadhamini wengine ni Dar insight,Issa michuzi blog,vijimambo blog,Jestina blog Na Achievers magazine.
Wiki Hii semina yetu itakuwa inaenda kwa mada ya "Competitive intelligence" na mwezeshaji ni Samweli ndandala ambaye ni mshauri wa biashara na kocha wa biashara,Na wiki zijazo october 9 itakuwa" Happiness" itakayo wezeshwa na Prof Flora Fabian alisema Deogratius kilawe
No comments:
Post a Comment