MZEE SIMON MKOMA ENZI YA UHAI WAKE
NDUGU JAMAA NA MARAFIKI TUNAPENDA KUWAKARIBISHA KWENYE MEMORIAL SERVICE YA MAREHEMU BABA MPENDWA SIMON MKOMA BABA YAKE NA EDINA MUSHI ITAKAYO FANYIKA JUMAMOSI HII SEPT 29, 2012
SAA KUMI [4PM]
ANWANI; 2042 PEACH ORCHARD DRIVE.
FALLS CHURCH,VA 22043 .
WOTE MNAKARIBISHWA. UNAWEZA KUWASILIANA KWA UTARATIBU ZAIDI.
EDINA JOHN 517 502 0901
EILEEN SHIRIMA 202 290 5523
ELISERENA KIMOLO 301792 5354
No comments:
Post a Comment