Viongozi wa Tawi la Chadema Houston wamkabidhi Kadi ya Chadema Makongoro Wassira.Picha na Habari na CHADEMA
---
Katika
watu wanaikashifu Chadema na kuwa na maneno ya maudhi ni Waziri
Wassira. Sasa kwa kuonyesha kuwa M4C haina msamaha hata kwa familia yake
mtoto wake aishie USA aitwae Makongoro Wassira amejiunga na M4C.Akizungumza
wakati anakabidhiwa kadi alisema yeye ni wa kwanza tu kujiunga M4C
lakini ndugu zake wote wapo mbioni kujiunga na anadhani baba yake pekee
ndie atabaki CCM.
No comments:
Post a Comment