ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 28, 2012

MAREHEMU MEJA JENERALI MSTAAFU, ANATORY RUTA KAMAZIMA KUAGWA KESHO JIJINI DAR ES SASLAAM

Marehemu Meja Jenerali Mstaafu, Anatory Ruta Kamazima
---
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kuwafahamisha wananchi kuwa  Meja Jenerali Mstaafu, Anatory Ruta Kamazima (pichani), ambaye amefariki dunia mwanzoni mwa wiki hii, ataagwa rasmi katika Hospitali ya Lugalo tarehe 29 Septemba, 2012 saa saba mchana (7.00 mchana)  Nyumbani kwa marehemu eneo la Tegeta - Kibaoni baada ya soko la Nyuki Maruku Cottage.
 
Imetolewa na 
Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
SLP 9203, Simu: 0764-742161
Email:ulinzimagazine@yahoo.co.uk

No comments: