Yule mwanamuziki wa Bongo Flava malikia wa Zouk Hafsa Kazinja Mtunzi wa wimbo uliotamba na unaoendelea kutamba Presure alioshirikiana na Banana Zolo Jumamosi Sept 22, 2012 Moto Lounge Laurel kutawaka Moto ameahidi kama unauwezo wa kuuzima karibu sana lakini angalia usiungue ni Zouk kwa kwenda mbele Moto Lounge kwa mara ya kwanza katika historia Hafsa Kazinja na presure, presure ndani ya USA Tour Karibu upate raha na kujiachiachia huu ndio muziki wetu na Hafsa Kazinja ndio mwanamuziki na Mtanzania mwenzako fika Moto Lounge uonyeshe uzalendo wako, Asante
MALKIA WA ZOUK - HAFSA KAZINJA KUTUMBUIZA BOSTON - OCT 27TH
No comments:
Post a Comment