Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Kigamboni (CCM), Faustine Ndugulile
Rais Kikwete akizindua jiwe la
msingi la mradi wa ujenzi wa mabasi yaendayo haraka barabara ya
Morogoro, jijini Dar es Salaam jana. Ujenzi huo utakaoanzia 'ferry' hadi
Kimara kwa kuunganisha na barabara ya Kawawa kuanzia Magomeni hadi
Morocco ni wa umbali wa zaidi ya Kilometa 21.
Rais Jakaya Kikwete akikagua vifaa vya kampuni inayojenga katika mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment