ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 20, 2012

Serikali ya Marekani yatoa msaada wa kuimarisha Mfumo wa Ulinzi baharini wenye thamani ya dola za Marekani milioni 1 ikiwa ni mafunzo pamoja na vifaa.

 Balozi wa Marekani Bw Alfonso Lenhardt akisalimiana na maafisa wa jeshi la wanamaji Tanzania -NAVY
  Mkuu wa Mipango na Maendeleo(JWTZ) Maj. Gen. Le Mndeme akikata Utepe akishuhudiwa na Balozi wa Marekani Bw. Alfonso E. Lenhardt, kushoto Kamanda mkuu kikosi cha wanamaji NAVY Maj.Gen. Said Shaban Omary.
 Meneja wa programu US Navy Bw.Steve Poland akikabidhi vyeti mmoja kati wahitimu wa mafunzo.
Serikali ya Marekani imetoa msaada wa kuimarisha Mfumo wa Ulinzi baharini wenye thamani ya dola za Marekani milioni 1 ikiwa ni mafunzo pamoja na vifaa.
 
Balozi wa Marekani nchini Tanzania Alfonso Lenhardt ameshiriki katika hafla ya kukata utepe wa kufungua mafunzo pamoja na msaada huo katika kambi ya Kigamboni Wanamaji ya Kigamboni ya TPDF jijini Dar es Salaam.
Msaada huo kwa ujumla utasaidia ushirikiano wa kupata taarifa miongoni mwa Mamlaka za Bandari, askari wa majini na Jeshi la Wananchi wa Tanzania ikiwa ni kuongeza usalama majini.
haki ngowichanzo 

No comments: