ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 24, 2012

ITIKA USO KWA USO NA CEDRIC THE ENTERTAINER

Itika mwakasula muigizaji wa kike Mtanzania anaeishi Dallas. Texas katika picha ya pamoja na Cedric The Entertainer mchekeshaji na muigizaji sinema maarufu wa Marekani siku ya uzinduzi wa sinena ya Lost In Abroad sinema iliyoigizwa naa Itika na wenzake.

No comments: