ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 20, 2012

KATIKA PITA PITA YA VIJIMAMBO KWENYE SHUGHULI ZA WATANZANIA HAPO SASA

Sijuhi ilikuwa music gani hapa kazi kwako mwanavijimambo......:)

6 comments:

Anonymous said...

Eh! sijuhi mazingaumbwe au music mwenyewe anajua na wale waliekuwepo katika shughuli hiyo........

Anonymous said...

Huyu Ibra NY ni mikwara tu pamoja na Dean Nyalusi...

Anonymous said...

Kaaaaaaazi kwelikweli..

Anonymous said...

Muziki umeingia kwenye damu hapo...Weweee!!!

Anonymous said...

Labda America got talent aaah!! hapa ni x x x lol

Anonymous said...

hahahahah....Ebrah love the way u enjoy the music, hakuna kuleta pose ndani ya ndombolo ya solo!