kushoto ni Erca akiwa na Dada yake Jen Lulakwa Enzi ya uhai wake wakati walipokutana Dar mapema mwaka huu.
GONE TOO SOON
KWA MASIKITIKO MAKUBWA TUNAWATANGAZIA KUWA NDUGU YETU ERICA LULAKWA GLENN WA CALIFORNIA, USA
AMEFIWA NA DADA YAKE MPENZI JANE LULAKWA KINGU, ALIYETUTOKA JANA IJUMAA SEPT 07, 2012 DAR ES SALAAM, TANZANIA.
HIVI SASA ERICA LULAKWA ANAJIANDAA KWENDA KUMZIKA MAREHEMU NYUMBANI TANZANIA.
NDUGU ZANGU KAMA ILIVYO DESTURI YETU, TUNAOMBA KWA WALE MNAOWEZA MPIGE SIMU NA KUTOA RAMBIRAMBI KWA HALI NA MALI KUMFARIJI MWANA DIASPORA MWENZETU
ERICA LULAKWA KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU.
SIMU YA ERICA NI 415 -786-3958
ALEX KASSUWI 301 305 9685
1 comment:
pole sana erica mungu akupe moyo wa ustaahamilivu sote ndo njia hii tutakao pita hakuna kinakacho baki duniani isipokuwa muumba peke. inna lillah waina illahim rajiun.
rip jane lulakwa kingu
mdau NY
Post a Comment