Maria Mushi Enzi ya uhai wake
Familia ya Kimolo kwa majonzi na masikitiko makubwa inasikitikka kutangaza kifo cha mama yake mama Kimolo Maria Mushi aliyefariki akiwa njiani kurudi Tanzania kwenye Ndege ya Ethiopia wakati ilipokua ikielekea Ethiopia mwili wa marehemu upo Addis Ababa. Marehemu aliondoka Jana Jumamosi Sept 8, 2012 Dulles Airport, Virginia
Msiba DMV Upo
8179 Aspenwood Way
Jessup MD 20794
Watanzania weanzangu ndugu, jamaa na marafiki tujumuike na familia ya Kimolo kwenye msiba huu wa mama Kimolo kufiwa na mama yake.
Kwa maelezo zaidi na maelekezo
Mrs. Eliserena Kimolo - 301-792-5354 (home: 240-280-1486)
Mr. Donacian Kimolo - 301-379-2845
Mrs. Diana Obuya - 1-484-477-6028
Tonga Mushi - 240-701-3205
Edina - 571-502-0901
Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe
No comments:
Post a Comment