ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 29, 2012

SUNDAY NA ELINITA WAMEREMETA



 Mdau Sunday Shomari akiwa na Mai waifu wake Elinita Mhando wakati wa Ndoa yao iliyofanyika leo katika kanisa la Mt. Emmaculata,Upanga jijini Dar es Salaam.
 Maharusi Sunday Shomari na Mai Waifu wake Elinita Mhando wakivishana pete ikiwa ni ishara ya kufunga pingu za maisha mpaka Mungu atakapowatenganisha. 
 Padri akiongoza ibada ya Ndoa ya Mdau Sunday Shomari na Mai Waifu wake,Elinita Mhando mchana wa leo katika kanisa la Mt. Emmaculata,Upanga jijini Dar es Salaam.
 Ibada ya ndoa ikifanywa.
 Maharusi na Kapu la Sadaka wakati wakienda kukabidhi kwa Padri.
 Maharusi na Wapambe wao wakifuatilia Ibada ya ndoa.
 Wapambee. 
 Bw. Harusi Sunday Shomari akisoma neno la Mungu huku Mpambe wake Chacha Maginga akiwa pembeni yake.
 Sunday Shomari akiwa ni mwenye Furaha baada ya Kuchukua jumla mchana wa leo.
 Bi. Harusi Elinita Mhando na tabasamu zito.
Kwa picha zaidi bofya read more

Maharusi na Nondozz zao.
 Ndugu,jamaa na Marafiki wakiofika kanisani hapo katika ibada ya Ndoa ya Mdau Sunday Shomari na Mai waifu wake,Elinita Mhando. 
Mdau Baraka Munisi akiwa nje ya mkoko wake matata jijini Dar ambao ndio uliotumika kuwabeba maharusi.
 Maharusi katika picha ya pamoja.
 Wapambe.
 Full kupendezaaa
 Maharusi na Wapambe wao.
 Bi. Harusi na Matron wake.
 Bw. Harusi na Mpambe wake.
 Wamependezajeee...... 
 Pozzzz tofauti tofauti za Maharusi. 
 Maharuzi na Wazazi.
Maharusi na Marafiki. 
 Taswirazz zikichukuliwa.
 Maharusi wakitoka kanisani. 

4 comments:

Anonymous said...

jamani Teri yuko wapi/

Anonymous said...

Acha zako hizo,hii ni kuhusu sunday na elinita.

Anonymous said...

jamani siku hizi imekuwa vyetu vya ndoa havina tena thamani enzi za zamani ukioa hata cheeti hukionyeshi nje nje na kusoma maandiko yani haya toki maneno moyoni mwentu duuu ndo mambo ya kile any way nakutakiyeni kila la kheri na baraka tele katika ndoa yenu na tunakusubirini washington d.c mwamoyo atakuwa kinara wa nyama choma ha ha ha

Anonymous said...

umeshaoa sunday yani roho inaniuma sana lakini nakutakia kila la kheri

mdau idaho