Wasanii wa Kikundi cha Shada, wakifanya onyesho la sarakasi katika ufunguzi wa tamasha la kimataifa la Sanaa Bagamoyo. Tamasha hilo limefunguuliwa rasmi Jumatatu na litaendelea kwa siku tano hadi Jumamosi ijayo.
Moja kati ya mambo yaliyokuwa kivutio kikubwa ni jinsi watoto hao walivyoonyesha umahiri katika kuruka kwenye maringi.
Wasanii wa kundi la Jeshi wakifanya onyesho la Mzingaombwe katika Tamasha la Sanaa la Bagamoyo (Picha kwa hisani ya CAJAtz)
No comments:
Post a Comment