ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 23, 2012

UMESHIKWA, HUJASHIKAMANA

Mpwa na Tamia katika picha ya pamoja baada ya show ya Hafsa Kazinja

9 comments:

Anonymous said...

Dj luke na wewe.kila siku unatutolea mpya.siku zinavyozidi, kwenda unazidi kuwa mtoto.unafikiri sifa.kumbe mambo ya aibu.kila siku unakuwa chini utaki kueshimika.mdau kutoka NORTH CAROLLINE.

Anonymous said...

Mpwa sasa ndio naona Uhuru wako......Nonini anakwambia yaani mazee mnatoshanaaaaa.

Anonymous said...

Mpwa naona mambo ya Abiria chunga mzigo wako....
.DJ naona umeamua kuweka difference,ka-portable kametulia:))))

Anonymous said...

na we nawe, north carolina naona unaiona tu kwenye cnn maana hata spelling zinaleta utata kama kweli wewe ni mkazi wa NC!

Anonymous said...

we Mdau hapo wa kwanza kabisa,Mbona sikuelewi unavyosema Dj sikuzinavyokwenda anazidi kuwa mtoto,ebu kuwa specific.kwani Dj si na yeye binadamu, mbona wengine wanaweka pia picha zao hapa kwenye blog na hatusemi kitu.kwa mtazamo wangu naona iyo picha ni ya kawaida kama za watu wengine.Dj hapo haukukosea kuchagua...RESPECT MPWA

Anonymous said...

Mpwa uyo dada mwenye comment ya kwanza juu kabisa wa NORTH CAROLINA ulimpiga kibuti nini?tetetehhh haya DJ sasa kazi unayo

Anonymous said...

DJ kweli uyo wakwanza wivu unamsumbua LOL. Endelea kuwaumiza roho.

Anonymous said...

ni NORTH CAROLLINE....kwikwikwi. mpwa kumbe na wewe unawakosesha watu usingizi eeh!

Anonymous said...

Mdau wa kwanza nenda jikoni kachungulie mboga zako utaunguza