ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 9, 2012

VIVAZI VILIVYOTAMBA KWENYE HARUSI YA SAYUNI NA JACKSON, COLUMBUS, OHIO

Watu wote walipendeza kwenye sherehe ya Harusi ya Sayuni na Jackson lakini Vijimambo ilibahatika kuwapata hawa wachache kutokana na Mpwa kua Dj kwenye harusi hiyo.

1 comment:

Anonymous said...

Eeh vivazi vya ukweli, wanameremetaaa