ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, September 25, 2012

WANAKITONGOJI

Bi.Theresia Charles Mangi, Mjumbe wa shina no 25,Kikalakala "A" Kongowe jimbo la Kigamboni anamtuhumu mjumbe mwenzie Bw.Wahabu Ngorongo ambaye hakupatikana kujibu tuhuma za kutishia kuuwa kwa imani za kishirikina,kisa ni eneo ambalo ameliuza kwa sh 250,000/= ambalo limetengwa na wananchi kama sehemu ya barabara.

Picha ni Bw.issa Shomari Mwenyekiti wa Mtaa wa Goroto amethibitisha juu ya mgogoro huo na namna kikao chake cha usuluhishi kwa wajumbe hao kilivyosambatiswa na nyoka wa maajabu anae sadikiwa niwa Bw .Ngorongo aliye apa kuua kwa imani za kishirikina.

              By. Anthony joseph....usikose kusikiliza story kamili kwenye kipindi cha weekend special ''Ws'' from kitongoji''siku ya jumamosi th.29 sept 2012 saa nane mchana wapo radio fm 98.00mhz  au Internet U stream search wapo radio
Kwa picha zaidi bofya read more

Kwa picha zaidi bofya read more

No comments: