Picha ya Marehemu Celestine Masanja enzi za uhai wake.
Mtoto wa Marehemu, Redamtus Masanja pichani shoto na Mkewe wakiweka shada la maua kwenye kaburi la baba yao mara baada ya kulazwa kwenye nyumba yake ya milele jioni ya leo, makaburi ya Wailles, Chang'ombe jijini Dar.
Mtoto wa Marehemu, Redamtus Masanja pichani shoto na Mkewe wakipokea mashada ya mau kwa ajili ya kuweka kaburi la baba yao mara baada ya kulazwa kwenye nyumba yake ya milele jioni ya leo ,makaburi ya Wailles,Chang'ombe jijini Dar.
Baadhi ya Watoto wa Marehemu Mzee Masanja wakiweka mashada pamoja na mau kwenye kaburi la Baba yao,mara baada ya kufanyika mazishi yake jioni ya leo kwenye makaburi ya Wailles,Chang'ombe jijini Dar
Ndugu jamaa na marafiki wakiwa wamejumuika kwa pamoja kwenye mazishi ya Mzee Masanja aliyefarika juzi na kuzikwa leo kwenye makaburi ya Wailles,Chang'ombe jijini dar jioni ya leo.
Baadhi ya Watoto wa Marehemu Mzee Masanja wakiomba sala ya pamoja ya kumuombea Baba yao mpendwa,mara baada ya kufanyika mazishi yake jioni ya leo kwenye makaburi ya Wailles,Chang'ombe jijini Dar.
Baadhi akina mama wakiwa wamejumuika kwa pamoja kwenye mazishi ya Mzee Masanja aliyefarika juzi na kuzikwa leo kwenye makaburi ya Wailles,Chang'ombe jijini dar jioni ya leo.
Pichani kati ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Global Publishers, Eric Shingongo na wadau wengine wakimpa pole,mtoto wa Marehemu Redamtus Masanja,mapema jioni ya leo mara baada ya kufanyika mazishi.
Mtoto wa Marehemu Redamtus Masanja,akiwa pole na baadhi ya marafiki zake waliofika kwenye mazishi ya marehemu baba yake yaliyofanyika mapema jioni ya leo kwenye makaburi ya Wailles,Chang'ombe jijini Dar.
Meneja mahusiano wa kampuni ya Airtel, Jackson Mmbando akizungumza jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Global Publishers, Eric Shingongo.(GPL)
No comments:
Post a Comment