Mzee Tekle Tamanu Enzi ya uhai wake
Mnataarifiwa Harambee ya kusaidia kuwezesha mazishi ya Baba yake Sarah, Marehemu Mzee Tekle Tamamu aliyefariki jana asubuhi katika Hosipitali ya Adventist iliyopo Takoma Park Maryland, nchini Marekani. Harambee ni leo Jumapili October 14, 2012 kuanzia saa 8:30 alasiri mpaka saa 11 jioni (2:30 pm-5pm) tafadhali zingatia muda kwani Harambee imelipiwa kwa masaa hayo tu/
Address ya Harambee ni
The Way of the Cross Gospel Ministries
(at University United Methodist Church)
3621 Campus Drive
College Park, MD 20740
Tafadhali njoo cha chochote unachofikiri kitasaidia kwa ajili ya mnada. ukipata taarifa hii mtaarifu mwenzio.
Kufika kwako kwa kuzingatia muda ndio mafanikio ya Harambee hii.
Siku ya maziko ya mpendwa wetu bado kujulikana lakini mtataarifiwa na vyombo vyetu vya habari punde itakapojulikana.
Kwa malezo zaidi na maelekezo piga simu
Mama Sarah 240 481 1207
Irene Milmbe 571 501 0122
Kichai 202 361 0571
Joseph Mzanila 240 388 7845
BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE
No comments:
Post a Comment