ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 14, 2012

MECHI YA MPIRA WA MIGUU KUSHEREHEKEA MIAKA 50 YA UGANDA DMV

Balozi wa Uganda  nchini Marekani Mhe. Alfred Nnam ambae alikua mgeni rasmi katika mpambano wa mechi kirafiki wa kusherehekea miaka 50 ya Uhuru wa Uganda iliyofanyika Greencastle, Maryland kati Waganda  na Wakenya wanaoishi DMV, Uganda waliibamiza Kenya 4-1 mpaka mapumziko mabao yalikua 0-0
Henry kulia ambae  anasaidia kutoa scholarship za vyuo kwa wacheza kabumbu nchini Marekani akiwa kwenye mechi ya Uganda na Kenya akimfuatilia momoja ya mchezaji kwenye mechi hiyo anaeongozana nae ni mmoja ya wachezaji wake aliyepata nafasi hiyo..
Mashabiki waliofika kuangalia mpambano wa miaka 50 ya Uhuru wa Uganda wakifuatilia mpambano.
Kikosi cha Uganda
Kikosi cha Kenya
Marefa waliochezesha mpambano huo wakipaa picha ya pamoja na makapteni wa Uganda na Kenya
Kikosi cha Kenya wakati wa wimbo wao wa Taifa
Kikosi cha Uganda wakati wa wimbo wao wa Taifa
Balozi wa Uganda Mhe. Alfred Nnam akiwa na kepteni wa timu ya Uganda wakati wa Wimbo wa Taifa wa Uganda ukipigwa.
Mhe. Balozi wa Uganda akisalimiana na wachezaji wa timu ya Uganda
Mhe. Balozi wa Uganda nchini Marekani akiendelea kusalimiana na wachezaji wa Uganda 
Mhe. Balozi wa Uganda akisalimiana na Wachezaji wa Kenya.
Mhe. Balozi akiendelea kukagua timu ya Kenya.
Mhe. Balozi akisalimiana na wachezaji wa Kenya.
Kwa picha zaidi bonyeza read more

No comments: