ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 14, 2012

PAUL RWENGUNGURA DJ ANAETIKISA PA, USA


Dj Paul Rwechungura aliyewahi kuwa golikipa nambari one wa timu ya Pamba ya Mwanza wanaTP Lindanda akifanya vitu vyake kwenye moja ya sherehe mjini York, Pennsylvania ambako ndiko anakoishi kwa sasa.


Paul Rwechukura wa kwanza kulia ( waliosimama) enzi hizo akiwa na timu nzima ya Pamba ya Mwanza Wana TP LINDANDA. Mdau kama unakumbukumbu tunaomba majina ya wachezaji wengine

No comments: